JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
zimepambwa na mipasho kila kona au maandishi ya kiarabu>sio QURAN> au hirizi tupia unalokumbuka kama haya YA KWETU YAACHE KAMA YALIVYO NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU JIRANI YAKO MBAYA WAKO
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Kama mwanaume ni kichwa cha familia na mwanamke ni shingo ya familia kwani inaweza kuzungusha kichwa kokote inapotaka,,,,
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndo nimetoka mjini Stesheni naelekea home Garage nashuka Mwananchi,karaha ya folen tupa kulee
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Dunia imepoteza intelligent people wengi kama Newton,alexander the great,na mimi leo nimeamka najiskia vibaya inasikitisha sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti jamani kama Mungu Angetoa Ofa ya kurenew/ kubadilisha jinsia we ungebadilisha yakwako? Kitu gani unajivunia kuwa Ulivyo ? Mi binafsi Najivunia Kuwa Kidume hongera Mungu kunipa hii Kitu aisee!
0 Reactions
54 Replies
4K Views
Nimesikia msemo huu mara kadhaa katika jamii zetu. Week- end moja hivi nilitoka out na rafiki yangu. Tulitafuta sehemu nzuri ktk pub moja hivi na kuagiza vinywaji; taratibu tuliendelea...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
kama ni njia ya kunyonyoosha moja kwa moja mbele kushoto umefika ni simple tu unasema: you snake weee one to one front you arrive left side.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
hellooooo!!!!!!!!!!! mamboooo!!!!!!! nimewamicijeeee!! hebu sogeeni pande hzi mnipe yaliyojili ndani ya nyumba miezi mi2 iliyopita!!
2 Reactions
260 Replies
13K Views
Hizi touch screen zinavyosumbua watu mdada kanunua cmu mpya Screen touch Mdada: Bebi mambwo? Jamaa: Poa nambie Mdada: Vipw umelalwa? Jamaa: Unasemaje? Mdada: Nauliza umelwala? Jamaa: Mhhhh...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
miss neddy, please badili avatar yako mama......please ni maoni yangu binafsi, sijatumwa na mtu hata hivyo, kama kuna wana CC wananiunga mkono basi na wa reply...
5 Reactions
286 Replies
13K Views
KUCHEK MPIRA NA WANAWAKE NI STRESS TUPU (arsenal vs man u) demu: baby yule jamaa ni CHRIS BROWN jamaa: hapana anaitwa THEO WALCOT demu: hee.. ile kadi ya njano ni ya nini? jamaa: ni onyo tu...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
nkitaka kuweka pcha jf inakuaje
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MKAKA: Hello Babe.... (11:45pm) MDADA: (last seen at 11:46pm) MKAKA:Nijibu tafadhali ( 11:50pm) MDADA: (last seen at 11:52pm) MKAKA: Mbona unanifanyia hivi? Mbona hujibu? (00:00am) MDADA...
5 Reactions
24 Replies
8K Views
Mkutano wa mwaka wa Chama cha Walioolewa Duniani (CHAWADU) ulikuwa inaendelea, na akina mama kutoka nchi mbali mbali walikuwa wanatoa ripoti ya utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa mwaka...
10 Reactions
19 Replies
6K Views
utafiti unaonyesha zaidi ya 75% ya watanzania wanalala stoo, Haiwezekan chumba cha kulala kuna ndoo za maji, ndoo za maji ya kunywa, ,Sufuria za kupikia, Jiko la kupikia, mkaa, ,Sofa, TV...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
James prayed so hard and oneday God finally talked to him. GOD:My son what do u really want? JAMES:I want a job,a big car and lots of girls to be around me. GOD: Is that all? JAMES: Yes. GOD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1: Maid wenu ni zuzu alinunua mandazi kwa hoteli alipofika nyumbani akazichemsha ili apate supu 2: Naskia babu yako ni mkali sana akikasirika sana anakunywa painkillers!!! 3: Boyfriend wako...
0 Reactions
10 Replies
88K Views
Wakuu, nAPENDA Kumshkuru Mungu kwa siku yale maana kwa siku kama ya leo mnamo mwaka 1971 bwana donlucchese nilizaliwa. napenda sana kushukuru kwa wote mlio ni pm kunitakia sikukuu njema ya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naipenda sana jf.Mada ikiletwe ndani kama filigisi ya kuku inapasuliwa katikati afu watu wanaanza kutoa kilicho ndani,ngozi yake hutolewa kwa facts.Mwisho wa siku jibu hupatikana kama vile...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…