Hakuna hata mmoja ambaye hajitumi humu jukwaani hata wale wanaojifanya wako busy na maisha bado nao wanajituma tuu...! wanajituma kupost post mpya, kuchangia post za wengine, kutoa like kutuma...
Jaman Wivu Nomaaaaa!!! mama mmoja alipata anacho kitafuta.. alizani mume wake akula mzigo kwa house girl.. cku moja alimwambia house girl alale chumba kingine yeye akalala kwa house... bac kama...
Sala ya walevi walipokutwa baa, ' Baba yetu uliye Breweries, bia zako zikufikie, bei yake iwe rahisi hapa baa, kama huko kiwandani, utupe chupa zetu za pombe kila siku, utusamehe sisi walevi wote...
Mambo vipi wewe .Hongera kuwa humu ndani mpaka muda huu wa usiku .Lakini kumbuka huu muda uliwekwa maalumu kwa ajili ya kulala na wataalamu wa afya wanashauri ulale angalau masaa manane lakini...
Nimetafakari kwa kina na kutambua kwamba kuna uwezekano wa kuunda kabila jipya.
Nakaribisha Pm kwa yeyote atakaye amua kuasi kabila lake ili ajiunge na mimi kuunda kabila letu jipya ambayo...
Urafiki na watu matajiri una adha
zake, siku ukimtembelea
anakupokea kwa furaha kubwa;
MTAJIRI: Ahhhh bwana John
karibu sana karibu, sijui tukae nje
au ndani?
JOHN: Naona joto labda tungekaa...
Jamani sina raha kabisa king'asti wangu wa moyo Angelicious anaumwa,maombi yenu yanahitajika wapendwa
cc Bantu lady,excel,mwallu,Rich pol,'valentine',shansarie,Kiwatengu, miss nedy na wengine...
Thank U God Almighty. Wadau leo ni siku yangu muhimu sana maishani. Its my Birthday. Lets celebrate. Pia ni siku maalum kuwajulisha members wa jukwaa hili kwamba namvalisha pete ya uchumba kichuna...
Jamaa unaweza kufuatilia news. Kwa nin usiwe na blog utakayotupia news? Blog hyo itakulipa matangazo na mambo mengne. Ufuatiliaji wako hauna tofauti na Millard Ayo. Tafuta vitendea kazi then...
Hv humu chit chat ndio kunahusu nini wenyeji???
Mi huwa nikiingia JF nashuka kule chn kweNye majukwaa yale mawili chini kabsa...nikipanda nafikia MMU na tawi lake naingia intelijensia nagusa...
Hii tabia ya mabinti zangu inanikera sana.Nina haraka ya kwenda shambani,naingia kwenye gari naliwasha tayari kuelekea shambani, lakini oohhhh! dashboard inawasha taa kunieleza kwamba mafuta yako...
jamani kwa yeyote alenionea funguo za mlango Wa gari langu lile aah .....acha utan bana Kwan w ujui gar lang lile linawaka mpaka upige jeki ..........umesema...... eee...eeeh hilo ilo sa funguo...
Kwa kawaida siku zote huwa nikiamka nakuwa kawaida na serious .Lakini hii ni mara ya kwanza na nahisi itakuwa ya mwisho kutokea kuamka vizuri namna hii .Namna jinsi nilivyo amka leo nimeamka...
Aisee yaani wana chitchat wengine ni noma.Yaani ukijichanganya kidogo tu ukapishana nao anakutwanga na kauli moja matata ambayo inakufanya kuumia siku nzima.Hata ukisema umpotezee bado maumivu ya...
KIKAO HICHI NI MAALUMU KWA VIJANA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 23 KARIBUNI. Mambo vijana wenzangu nyie wenyewe mnaona maisha ya kuwa single kipindi hiki cha ujana yalivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.