Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
wewe hapo!!!
huyo mwenye rangi nyeupe nyeusi
Mtaje jina...
si yule mweupe jina lake silijua jamani basi nitajie wewe
wewe hapo!!!
Ulisema mweupe mweusi... Lakini kama ni mweupe anaitwa Mzungu hahaha. Halafu swali la kizushi..where are you looking always? ?(Avatar yako)
Uko bibie...
hapana sikusema hivyo nilisema mweupe mweusi kiasi hivi
umeipenda avatar yangu nini au ndo mambo yaleeee
Mambo yapi hayo??
unayajua bhana ila hiyo avatar unaipenda?
Huyo anaitwj warren buffen
Ni Howard Buffet! Mabilionea wengi hawana complication, very humble labda uguse maslahi yao, tatizo ni wale wenye hela ya kubadilishia mboga, usafiri na suti, lazima uwakome!
Yap Avatar imekaa poa ila tu Daily unaangalia same place.
Paloma