Watu wanajituma sana jamvini

Watu wanajituma sana jamvini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Hakuna hata mmoja ambaye hajitumi humu jukwaani hata wale wanaojifanya wako busy na maisha bado nao wanajituma tuu...! wanajituma kupost post mpya, kuchangia post za wengine, kutoa like kutuma pm nk! hongereni kwa kujituma jukwaa linakua jukwaa linachangamka mno.

HONGERENI
 
Panachangamka sana mkuu, mimi kuanzisha mada siwezi napenda kusoma mada za wenzangu

Wewe angusha mada hata mia moja kwa siku
 
Kukazana kwa jinsi nilivyoelewa mimi - bidii

Au kuna tafsida hapa?
 
WANAJF WAKIKAZANA TU...
internet%20use.jpg
 
hakuna hata mmoja ambaye hakazani humu jukwaani hata wale wanaojifanya wako busy na maisha bado nao wanakazana tuu...! Wanakazana kupost post mpya, kuchangia post za wengine, kutoa like kutuma pm nk! Hongereni kwa kukazana jukwaa linakua jukwaa linachangamka mno hongereni

kukazana????????????.....
 
Back
Top Bottom