Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,913
- 1,036
Thank U God Almighty. Wadau leo ni siku yangu muhimu sana maishani. Its my Birthday. Lets celebrate. Pia ni siku maalum kuwajulisha members wa jukwaa hili kwamba namvalisha pete ya uchumba kichuna wangu fk tuliyeunganishwa na tarehe moja ya kuzaliwa. Karibuni sana tusherehekee pamoja. Happy Birthday kichunafk wangu. I lv u!😉:thumbup: