nifanye nn niweze kulala?

nifanye nn niweze kulala?

scart

Senior Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
104
Reaction score
26
jamani kichwa kinauma nna mafua makali.
sijalaka hadi saivi natakiwa kuamka sa kumi.
nifanye nn niweze kulala?
 
Tengeneza chai then weka ndimu kunywa itasaidia...

Oga maji ya uvuguvugu then meza painkiller pumzika....


Kama mafua makali sana chemsha maji yasubirie yapoe kidogo weka vicks katika maji then ji steam kwa kujifunika taula juu fumba macho lakini vicks isiingie machoni....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Pole sana,heri uoge maana sometimes mtu ukioga mida ya usiku usingizi unakuja fasta

Hii ni kweli unajua mtu ukichoka sana usingizi hauji ila ukioga kama una relax fulani that's y usingizi waja chap chap

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
dah.
jamani asanteni sana
niliamka nikanywa maji ya uvuguvugu na diclopa na chestcoff ya kumungunya.
nilikua nimeshaoga ila kwakweli jana sikusali.
ntasali asubuh hih.
najiandaa saivi nisepe job.
kila la heri wooooote....!
 
jamani kichwa kinauma nna mafua makali.
sijalaka hadi saivi natakiwa kuamka sa kumi.
nifanye nn niweze kulala?

Mdomo vp mchungu? kichwa kinaanza kuuma jioni? Kikohozi kikavu unacho? Nijibu nikupe tiba
 
Back
Top Bottom