JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Waungwana nilikua nawaza kwa mfano siku ya leo ya pasaka nyumba nyingi zimepikwa pilau sasa swali hivi hakuna sikukuu bila kuliwa pila???
0 Reactions
4 Replies
908 Views
Duuh tarehe 20!,ndio kwanza peilo iko ofisini kwa mkurugenzi hata kusainiwa bado,salary mpaka tarehe 25 hukoo mbona majanga.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wale wapenzi wa kunyolewa, upo chumba maalumu cha kunyolewa nywele lakini kwa bahati mbaya umeme ukakatika kinyozi akiwa katikati ya kichwa, huwa mnafanyeje.? unaondoka hivyohivyo.? au unasubiri...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Unlock Iphone Free 4 - 5s works as standalone application from your desktop. Who uses a cheap copy? When the original does the same thing for same price ! For risks and side effects ask your...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Napenda kuwatakia pasaka njema wana Jf wote popote mlipo. Angalizo : Usinywe na kuendesha chombo cha usafiri. Usitembee na vitu vya thamani kama ni mlevi. Kuwa mwangalifu sana. Pasaka njema
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Arabela, Ni mwaka nyingine Siku nyingine Saa nyingine Kwamba uliletwa hapa duniani siku kama hii ya leo kutupa yoote ambayo umetupa..upendo wako hapa kila mwana CC mwandamizi anaujua.... lakini...
15 Reactions
260 Replies
13K Views
Katika kuuanza mwaka huu ni vizuri na sisi tukaitaja mizigo inayotuelemea hapa jukwaani ili tuitambue na ikibidi mizigo hiyo iwajibike. Mizigo hiyo ni miongoni mwetu wana JF. Mimi nitautaja mzigo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba niwatakie Pasaka njema wana chit chat wote. Mungu awalinde nyie na familia zenu.
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Please upload this latest version 'LOL'
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Nakala zinapaikana bureeee
0 Reactions
11 Replies
1K Views
1)Umepumzika kwa raha zako baada ya kuchoka siku nzima alafu ile unafumba jicho unakuta utafiti ame bipu unamtwangia anakujibu nlikua nakusalimia tu.....wallah waweza mmeza mzima mzima kwa...
2 Reactions
68 Replies
5K Views
Cheers. Pamoja sana
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Angalia Athari Ya Utani: Jamaa Alikua Amekaa BAR Akitazama BIA yake Kwa zaidi ya DAKIKA 20. Akaja Mtani Wake Mmoja Akaichukua BIA Akanywa yote! Jamaa Akaanza Kulia, Mtani Akamwambia...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
HABARI ZENU MARAFIKI ZANGU WOTE WA MMU NA CC NAWATAKIA EASTER NJEMA YENYE UPENDO, AMANI, FURAHA NA FANAKA VILEVILE NAWAPA SOMO LA APRIL LILIKUWA NDANI YA MAHADHI YA SHAIRI INGAWAJE HAMJAWAI...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wakuringa aringe ngo'mbe, akinya mbolea, akichinjwa ngozi inawambwa ngoma, alisikika konda akimpa mabango dada mmoja mrembo baada ya kukanyagwa bahati mbaya na kuanza kuja juu,
1 Reactions
36 Replies
6K Views
WATOTO WA KISHUA SECONDARY SCHOOL S.L.P 7677, MASAKI. MTIHANI WA KUMALIZA MUHULA. MAELEKEZO. i. Jibu maswali yote. ii. Kila swali linabeba maksi kumi iii. Zingatia mpangilio wa kazi. iv...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
.... Tazama haya maajabu !!!
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Nataka abiria wawili tu. Pm tafadhali mauling 30k
0 Reactions
8 Replies
1K Views
We are the best producer of HIGH QUALITY fake and real documents. With over a billion of our documents circulating around the world. We offer only original high-quality passports, driver's...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Demu mkariiii alikaa na mzee kwenye daladala siti ya nyuma,mzee kavaa viatu vinatema kishenzi demu kashindwa kuvumilia na kurupoka"we mzee ni viatu vyako vinanuka au?mzee akamjibu kwa upole"hapana...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Back
Top Bottom