SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
Kwa kawaida siku zote huwa nikiamka nakuwa kawaida na serious .Lakini hii ni mara ya kwanza na nahisi itakuwa ya mwisho kutokea kuamka vizuri namna hii .Namna jinsi nilivyo amka leo nimeamka nafuraha na uchangamfu mkubwa mno lakini nikijaribu kuangalia kitu gani kimesababisha nimeamka vizuri namna hii ,ili niweze kuhakikisha kwamba siku zote zinazofuata niwe na amka namna hii SIZIONI sababu najikuta tu nimeamka na furaha .Sijui kitu gani kitatokea siku ya leo.Kwa mnaofahamu ikitokea hali hii inaashiria nini? .Je kuna mtu alishawahi kuamka akiwa na hali hii au ni mimi.tu?.
