Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,081
- 15,065
Hv humu chit chat ndio kunahusu nini wenyeji???
Mi huwa nikiingia JF nashuka kule chn kweNye majukwaa yale mawili chini kabsa...nikipanda nafikia MMU na tawi lake naingia intelijensia nagusa kwngine kwngine ila huku Mmmmh sijawahi gusa maana hata sipaelewi.....
Hebu nikaribisheni kwanza mgeni then nipewe muongozo na somo wa humu...
Kunani huku