Kikao Maalumu Jukwaa La Wadogo

Kikao Maalumu Jukwaa La Wadogo

SAYANSIKIMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
1,132
Reaction score
260
KIKAO HICHI NI MAALUMU KWA VIJANA WALIO NA UMRI CHINI YA MIAKA 23 KARIBUNI. Mambo vijana wenzangu nyie wenyewe mnaona maisha ya kuwa single kipindi hiki cha ujana yalivyo magumu.Natunajua kabisa kipindi tamaa zinavyosumbua na tunajua kabisa katika kipindi hiki tunatakiwa kujizua mpaka kipindi cha ndoa lakini katika kipindi hiki wengi huanguka kwenye uzinzi.Sasa Wakuu tupeane uzoefu tutafanye nini tuweze kuishi kipindi hiki salama .Maana Mwenyewe najiuliza sijui kama nitakimaliza salama hata hivyo nimejitahidi mpaka sasa.Wakuu kipindi hiki kigumu sana sasa tufanyaje ili tubaki salama mpaka kipindi cha ndoa .TUNAOMBA WAKUBWA MTUACHE TUJADILI MAMBO YETU.Lakini Kama Mnalolote La Kutushauri Ili Tusije Kupotea Kipindi Hiki Kigumu Tunawakaribisha Tusikie Hekima Kutoka Kwenu Nawasilisha
 
Hahahahahaha dah! haya tutasoma mawazo yenu
 
Nilikuwa najiuliza hizi mada zako bwana SAYANSIKIMU sasa nimepata majibu ni kwa sababu uko under 18!!Hatuwezi kuwaacha tutakuwa hapa hapa tunawaangalia,mkitaka kupotoka tunawachapa!Kumbuka nyie ndio wababa na wamama wa kesho tusipowalea vizuri miaka ijayo tutakuwa na kizazi hovyo!Tena hakikisha leo unafanya homework yako wewe SAYANSIKIMU,na uwahi kulala,umesikia???!
 
Last edited by a moderator:
Kwani wakati unajiunga na jf unaulizwa miaka?
 
Sasa mbona wakubwa wanaingilia uzi wetu? Mods piga hawa watu ban.

Back to the topic nipo under 23 ila nimeshaoa.

Ila kwa kukusaidia kama unaweza kupata milioni mbili kalime vitunguu ruaha badala ya kuwaza ngono. Au chukua laptop yako, badala ya kushinda kuangalia dodo andika business plan nzuri sana na uifanyie kazi, itakusaidia mbeleni.
 
Kipindi hiki ni kigumu unapaswa kutumia nguvu nyingi kujizuia,Tamaa kipindi hiki zinawaka sana,Cha msingi tu ni KUJIZUIA
 
Sasa mbona wakubwa wanaingilia uzi wetu? Mods piga hawa watu ban.

Back to the topic nipo under 23 ila nimeshaoa.

Ila kwa kukusaidia kama unaweza kupata milioni mbili kalime vitunguu ruaha badala ya kuwaza ngono. Au chukua laptop yako, badala ya kushinda kuangalia dodo andika business plan nzuri sana na uifanyie kazi, itakusaidia mbeleni.

Wanataka watuvurugie kikao chetu lakini hawataweza.Mambo yote yataenda sawa usijali.
 
Back
Top Bottom