Samahani nimetumiwa mesej home kuna ishu u

Samahani nimetumiwa mesej home kuna ishu u

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Urafiki na watu matajiri una adha
zake, siku ukimtembelea
anakupokea kwa furaha kubwa;
MTAJIRI: Ahhhh bwana John
karibu sana karibu, sijui tukae nje
au ndani?
JOHN: Naona joto labda tungekaa
nje
MTAJIRI; Huku chini ya miti
kwenye gaden au kibarazani?
JOHN:Kibarazani
MTAJIRI: Vipi tukalie makochi au
viti
JOHN: Makochi
MTAJIRI: Safi sana karibu bwana.
Utakunywa nini? Juis, Chai,
Kahawa, Soda, Whisky, Bia au
wain?
JOHN: Chai
MTAJIRI: Ya rangi au ya maziwa
JOHN: Maziwa
MTAJIRI; Maziwa fresh,ya kopo, au
ya unga?
JOHN : Freshi
MTAJIRI: Na sukari?
JOHN: Ndio
MTAJIRI: Sukari kawaida au super
sugar?
JOHN: Samahani nawahi home
wamenitumia mesej kuna ishu
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!

Nimefurahi sana.

JOHN: Samahani nawahi home
wamenitumia mesej kuna ishu.

TAJIRI: Upelekwe kwa gari au utaenda kwa miguu?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!

Nimefurahi sana.

JOHN: Samahani nawahi home
wamenitumia mesej kuna ishu.

TAJIRI: Upelekwe kwa gari au utaenda kwa miguu?

Hahahahahah hahahahahah
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!

Nimefurahi sana.

JOHN: Samahani nawahi home
wamenitumia mesej kuna ishu.

TAJIRI: Upelekwe kwa gari au utaenda kwa miguu?

Nitaenda kwa gari.
Tajiri. Utapanda daladala au tax?
John. Ntapanda daladala.
Tajiri. Unanauli au nikupe?
John. Aaaaaggrrr makomaku.
 
Nitaenda kwa gari.
Tajiri. Utapanda daladala au tax?
John. Ntapanda daladala.
Tajiri. Unanauli au nikupe?
John. Aaaaaggrrr makomaku.

Sina nauli

Tajiri: Nikutumie kwenye simu au nikupe keshi?
John : Nitumie
Tajiri: kwa m pesa, tigo pesa au Airtel money?
John: Au niandikie check
Tajiri: Ya crdb, nmb au Stanbic?
John: Basi nipe keshi
Tajiri: Nikupe noti au sarafu
 
John:Nimebanwa na haja,naomba niende chooni.
Tajiri:utatumia cha kukaa au cha kuchuchumaa
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!

Nimefurahi sana.

JOHN: Samahani nawahi home
wamenitumia mesej kuna ishu.

TAJIRI: Upelekwe kwa gari au utaenda kwa miguu?

JOHN;kwa gari
TAJIRI;utapanda lexus,range ama vx
 
Sina nauli

Tajiri: Nikutumie kwenye simu au nikupe keshi?
John : Nitumie
Tajiri: kwa m pesa, tigo pesa au Airtel money?
John: Au niandikie check
Tajiri: Ya crdb, nmb au Stanbic?
John: Basi nipe keshi
Tajiri: Nikupe noti au sarafu

john;sarafu
tajiri;mia,mia mbili au hamsini
 
john;sarafu
tajiri;mia,mia mbili au hamsini

JOHN: Mia mbili.

TAJIRI: Mimi nina noti ya elfu kumi tutapataje chenji?

JOHN: Sielewi tutapataje.

TAJIRI: Kwanini nisikupe elfu hamsini ili upate na hela ya kutumia njiani?
 
JOHN: Mia mbili.

TAJIRI: Mimi nina noti ya elfu kumi tutapataje chenji?

JOHN: Sielewi tutapataje.

TAJIRI: Kwanini nisikupe elfu hamsini ili upate na hela ya kutumia njiani?

John:haya nipe
Tajiri:kwa mpesa kwa tigo pesa?
 
Huyu jamaa naona akili yake sawa sawa na kinguenge mwetu maana nae kila akihojiwa na vyombo vya habari basi lazima amtaje marehemu yaani sawa sawa na hirizi no matusi
 
Hapana chezea!!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ila we jamaa hata ukienda chooni lazima unye pembeni! haiwezekani kila siku unakosea jukwaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom