Dalili za mtu muongo muongo

Dalili za mtu muongo muongo

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,937
DALILI ZA MTU MUONGO MUONGO

1.Ukiona mtu anasema yupo veta anasomea biashara ujue kuna kitu

2.Ukiona mtu Kaandika yupo canada alafu ukikatika umeme mbagala anawatukana tanesco ujue kuna kitu

3.Ukiona mzee anasema enzi zangu shule nilikuwaga wa kwanza ujue kuna kitu

4.Ukiona mtu anasema wazungu wote matajiri ujue kuna kitu

5.Ukiona mtu anasema bakhresa alikuwaga shoe shine ujue kuna kitu

6.Ukiona msichana mwenye miaka zaidi ya 15 anaishi uswahilini alafu anasema mm bikra ujue kuna kitu.

7.Ukiona mtu mwanaume anasema mm npo singo ujue kuna kitu
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mtu suti kubwa alaf anajitembeza tembeza mjin kwa mguu na briefcase lake ujue kuna kitu!
 
Huku kuzuri sana tatizo mie mgeni sielewi miiko ya huku
 
DALILI ZA MTU MUONGO MUONGO

1.Ukiona mtu anasema yupo veta anasomea biashara ujue kuna kitu

2.Ukiona mtu Kaandika yupo canada alafu ukikatika umeme mbagala anawatukana tanesco ujue kuna kitu

3.Ukiona mzee anasema enzi zangu shule nilikuwaga wa kwanza ujue kuna kitu

4.Ukiona mtu anasema wazungu wote matajiri ujue kuna kitu

5.Ukiona mtu anasema bakhresa alikuwaga shoe shine ujue kuna kitu

6.Ukiona msichana mwenye miaka zaidi ya 15 anaishi uswahilini alafu anasema mm bikra ujue kuna kitu.

7.Ukiona mtu mwanaume anasema mm npo singo ujue kuna kitu

ukiona member aitwaye Akili Unazo kapost hivi ujue kuna kitu
 
Back
Top Bottom