Weekend yako wapi leo

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
8,947
2,000
Mi nikitoka job naenda pata lunch.. halafu kikao na washkaj sehem kama mbili tofauti..mida ya saa mbili au tatu narudi hm.. kesho j2 sitoki hm.. wewe je
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,328

Ha ha ha haaah,,,,,,dogo ratiba yako imetulia. Mimi leo nipo tu home nimejipumzikia.
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...
 
Ha ha ha haaaah,,,,,,,,we jamaa.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,080
2,000
ah...wikiendi hii Niko kahama nakula bata na wakulima wangu wa tumbaku ma pamba hapa....
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,159
2,000
Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...

Tuko umekua halisi sana ukiwakilisha maisha ya wasela wengi. Nimecheka sana na unawahi misa ya kwanza wakati usiku wake ulikuwa unazini. Nyumba za ibada zinabeba kwelikweli.
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Tuko umekua halisi sana ukiwakilisha maisha ya wasela wengi. Nimecheka sana na unawahi misa ya kwanza wakati usiku wake ulikuwa unazini. Nyumba za ibada zinabeba kwelikweli.

Hahahahaha. .. nawahi kutubu...
 
Honey Faith

JF-Expert Member
Aug 21, 2013
15,808
2,000
Mi kwa sasa nafua... nitadeki chumba nikimaliza. Nitaosha madirisha, nitaenda kununua chipsi na mishikaki minne hapo kibandani, nikimaliza kula nitanyoosha nguo, nitaenda saloon kunyoa kisha nitarudi hom nivae bukta niende ground kucheza ball hadi saa 12.30. Nitarudi nyumbani nioge, kisha niwacheki washkaji tuende baa kukata kiu na kupata ugali kama dinner huku tukisubiri mechi ya fainali UEFA. Nitatumia huo mda pia kutongoza madem wawili watatu... atakaekubali nitaenda nae home baada ya mechi. Nikikosa nitaenda tu kulala, kesho niwahi misa ya kwanza...

Yani umenifanya nicheke kwa nguvu jamani watu mna mipango
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,159
2,000
Mimi niko shamba nafurahia mahindi yamezaa sana sijui nitakula miaka mingapi. Nikitoka shamba home kupumzika na shemeji yenu huku tukipata mbili tatu. Mishemishe za ujana nilisha graduate.
 
Mchukue shem muende bakurutu kusherekea mavuno ya mahindi...
 
wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,069
2,000
Hom nafua.nimaliza nafanya usafi wa ndani.naenda kwa mangi nagonga kiembe vyuku.narudi hom naoga navaa kibukta changu nasubiri "kipele" kije tupige game la dk 45.itakuwa jioni tutoke out hadi nne flan usiku turudi home game mwanzo mwisho.kesho mi church yeye kwao.nikirudi church sitoki.nanyoosha nguo na kulala tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom