Nimezamaaa naitaji msaada

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
May 29, 2013
471
0
Thamani yake hamuijui naijua mie mapenzi yake matamu wacha niwambie makubwa nimeona kwake sitaki niwahadithie niacheni na mpenzi wangu mapenzi anayonipa yanakata kiu yangu me jamani huyu ni wangu nimempenda mie...nakupenda sana PESA a.k. Money,mkwanja,chapaa,mullah,chisendi,paper
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,025
2,000
''Kwa maana SHINA moja la MABAYA ya kila namna ni KUPENDA FEDHA, ambayo wengine hali wakiitamani wamefarakana na imani......Bali wewe Mtu wa Mungu uyakimbie mambo hayo, Ukafuate HAKI, UTAUWA, IMANI, UPENDO, ------ NA UPOLE'' 1 Timotheo 6:10-11

''For the LOVE of MONEY is the ROOT of all EVIL.........which while some coveted after, they have erred from the Faith.. But Man of God flee from these thingsand follow after rightiousness, godliness, faith, love, patience, meekness''1 Timothy 6:10-11
Thamani yake hamuijui naijua mie mapenzi yake matamu wacha niwambie makubwa nimeona kwake sitaki niwahadithie niacheni na mpenzi wangu mapenzi anayonipa yanakata kiu yangu me jamani huyu ni wangu nimempenda mie...nakupenda sana PESA a.k. Money,mkwanja,chapaa,mullah,chisendi,paper
 
miss wa kinyaru

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
542
195
Pole sana huyu mpenzi ana wapenzi wengi balaa, wengine watajifariji hawampendi lakini ukweli utabaki kuwa kila binadamu mwenye akili timamu anampenda, mimi pia nampenda sana huyu pesa.
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Thamani yake hamuijui naijua mie mapenzi yake matamu wacha niwambie makubwa nimeona kwake sitaki niwahadithie niacheni na mpenzi wangu mapenzi anayonipa yanakata kiu yangu me jamani huyu ni wangu nimempenda mie...nakupenda sana PESA a.k. Money,mkwanja,chapaa,mullah,chisendi,paper

Hakikisha kuwa hiyo PESA unajua namna ya kuitafuta kwa njia HALALI na KUITUMIA pia kwa ADILI.
Wengi wamejikuta wakijiingiza kwenye matendo maovu, pengine hata kujiuza, kuuza madawa ya kulevya, rushwa, ufisadi nk kwa sababu ya kupenda pesa.

Kuna wengine walienda mbali zaidi, wakijitumbikiza kwenye ushirikina, wakawatoa uhai ndugu zao wakiwemo watoto, wenzi au hata jamaa zao wa karibu ili mradi tu wapate fedha. Mambo haya ni machukizo makubwa mbele za Mungu Muumba.

Umaskini wa baadhi ya watanzania umechangiwa sana na wapenda fedha wachache ambao nao pia waliamua ku-uuza uta wa watanzania, wakijiingiza kwenye vitendo vya ubadhilifu wa hali ya juu, wakaliweka taifa reheni kwa kujitumbukiza kwenye mikataba feki inayotugharimu mpaka leo hii, simply kwa kupenda pesa!!!

Kaa njoo ndugu yangu, kwani jambo hili unalolipenda ukiliendea vibaya lina mwisho mbaya!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom