is it real, wadau nipeni ufundi.. kwasababu wadau nimehangaika xana lakini mke wangu wapi sioni mwaka wa tatu.. ushauri pls mnaojua coz mke ni mkazi wa bukoba lakini wap!!!!! msaada
Miaka ya nyuma,hadi sasa kwa Baba zetu ukienda pembeni ya vitanda vyao utakuta Nondo,rungu,Panga kubwa,Hivi vyote huwa navyo kwa dhumun la kujiami endapo kuna tatizo hasa la uvamizi likitokea...
PANUA! ~ naogopa!,PANUA~ naogopa!`` Ni maneno yaliyosikika kutoka chumbani na kumfanya mpita njia asimame na kujisogeza karibu na dirisha ili kusikiliza vzuri...?PANUA! naogopa bwana!,~ Kwanini...
hello warembo wa jf, mambo zenu niaje?
Jamani wadada nauliza makeup gani nzuri kwa kwa mtu mwenye ngozi nyeusi? Msaada please, naomba akina King'asti, AshaDii, Kongosho, Mrembo by Nature, madame...
JAMAA alikuwa kagombana na mkewe, hatimae akamwambia mkewe kwa ukali, "Unajua nimechoka sasa haya kusanya nguo zako na......" Kabla hajamalizia sentensi simu ya mkewe ikalia, kumbe alikuwa ni baba...
Pole kwa swaumu
Nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaidi ya wanaume sasa kila demu ninae muaproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake si mbaya lakini chakushangazaa vijana...
Daah, hakuna mtihani mgumu kama ndoa, na kuthibitisha jinci ulivyomgumu unaanza kukabidhiwa cheti cha kufudhu kabla ya mtihani, tofauti na mitihani mengine kama necta na nacte.. Take care wanandoa..
Umepanda daladala na ukakuta viti vyote vimekaliwa.....ukaamua kucmama ili tu uwahi kwny pilika zako.
Sasa kero inakuja kwny hiyo mikoba yenu, tena cku mnabeba mikubwa kama mabegi.
Umecmama...
Tajiri anapata
Dereva anapata
Daeiwaka anapata
Trafiki anapata
Askari wa tigo anapata
Mgambo wa jiji anapata
Sungusungu wa manispaa anapata
Lakini mtoaji ni abiria!!! Na hii ndio nchi ya kitu...
KUMEKUWA na tabia za watu kuingilia mapenzi ya watu hapa JF wakionyesha kutaka kutoa msaada ambao huwa kinyume chake baadae.
Badala ya kutengeneza na kujikita kwenye msaada huwa wanaharibu...
Samahani kama tiari imo humu maana jokes nyingi zinajirudia rudia
Jamaa mmoja aliingia msikitini ijumaa
na
panga mkononi huku jasho
likimtoka, akauliza"nani muislamu
humu ndani?" Wote wakanyamaa...
1. Ukisikia watu wanakuteta ujue wamekukumbuka........Source: BAJAJ
2. Kuendelea kunenepa wakati ninakudai hela ni ishara ya dharau....Msemo wa kwenye bodaboda.
Ongeza na ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.