Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Tajiri anapata
Dereva anapata
Daeiwaka anapata
Trafiki anapata
Askari wa tigo anapata
Mgambo wa jiji anapata
Sungusungu wa manispaa anapata
Lakini mtoaji ni abiria!!! Na hii ndio nchi ya kitu kidogo. Utakamatwa na kosa la kweli au la kuchomekewa hakuna kuonywa wala kuelimishwa ni faini au mlungula na kila mmoja anataka
Faini kuna za halali na za kiupigaji vipo vitabu vya sirikali na vya boss na kila mmoja anapata. Ni nchi ya kitu kidogo kila mmoja anakula anapopamudu
LAKINI MWISHO HAUPO MBALI