JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mwalimu wa History Kawauliza Wanafunzi Mwl: Eeehe ! Ni Nani Aliyemuua Chifu Mkwawa? Mwanafunz 1: Aka Sio Mimi ! wa 2: Wallah ! Sihusiki ! wa 3: Kwanza Me Jana ckuja Shule! Mwl Alipoona Wanafunzi...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
mambo VP wana jf Leo nipo huku coz natafta mwanamke mnene mrefu mwenye umbo zuri ani pm saiz kuna dharula imejitokeza Kwenye mahusiano yangu so nahitaji wakua nae karibu kiushauri na mengineyo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kama umekosa usingizi kama mimi njoo pm tuchati tuliwazaje jaman. Angalizo;- hii nafasi ni kwa wanawake tu.
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakuu mi naenda kulala, vijana wa kova wako mitaani tayari wasije wakanidaka
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wareeeeeeteeeeeeeeeeeeeeee. Yaani kuanzia kesho itakuwa bilabila, siyo simba wala yanga. Pilau kila pembe ya kona. Wale waliofunga ku do kuanzia kesho tunafungulia kombe la dunia, guest zitajaaaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari kama inavyojieleza ukiwa unataarifa na haw wafurahishaji tunaomba ratiba yao leo na kesho mzee mkuu wa top garage naamini atutowakosa ndani ya sikuhizi mbili
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilipokuwa shule ya msingi kuanzia la 4 hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani zilikuwa zinacheza kwenye 03% hadi 08%. Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya darasa!yanapotangazwa...
4 Reactions
50 Replies
9K Views
Kama mnavyojua vijana wa jkt waliokuwa kambini wamepewa likizo ya wiki kwa ajili ya kuomba vyuo vikuu,Nimepata bahati ya kutembelewa na kijana wa ndugu yangu. Kinachofurahisha ni jinsi huyu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A man was brought before the judge and charged with NECROPHILIA (having sex with a dead person). The judge told him, "In 20 years on the bench, I've never heard such a disgusting, immoral...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Martin alipata safari ya kwenda ng'ambo itakayomchukua miaka 10 mpaka kurudi, akaamua kumfunga mkewe sehem za siri kwa kufuli la chuma na kumuachia ufunguo rafiki yake aitwae Andru na akamwambia...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi wana jf huwa mnalala kweli du
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ninaga msichana mmoja ananiumiza bila kujijua, kila akija ananiambia amefikia canteen moja hivi, so nimfuate. Nikienda nakuta ameagiza chipsi kama sio yai au kuku na soda, mlipaji ni mimi hivyo...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
Usiku mzima hawakulala yani kazi ilikuwa moja tuu kelele na sauti za mikasi tukasema ama kweli leo watu wanakazana Lakini hatimaye ndio wanamalizia kutengeneza kikadi cha mwisho kwa ajili ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni kijana ambaye napenda sana watoto wazuri sema tatizo kuna baadhi ya mademu wao wanajifanya wana pozi sanaa yaani in short wana mashauzi ile mbaya. Swali: je ni sawa mimi kujifanya mpole...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mtu kaweka status facebook kutaarifu marafiki kuwa KAFIWA NA BABA YAKE MZAZI halafu cha kushangaza 1. Yeye mwenyewe ana like ile status 2. Marafiki nao wana like ile status Hivi like inakuwa na...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ladies and gentlemen, Itakuwa ni furaha yangu kuu kufahamu kama mko na ahya njema.. bila shaka mu-wazima kabisa! Kama ilivyo ada, hakuna kiumbe hapa duniani asiyependa kuongeza umri wa kuishi...
3 Reactions
103 Replies
7K Views
Ni vikongwe, matumbo joto, wajivuni, wanaovutiwa, mashabiki damu, na mashabiki jina VIKONGWE :hawa ni watu muhimu JF ukongwe wao unatokana kuwepo muda mrefu jamvini wanajua mengi na wana uzoefu...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
1.Wahehe toka Iringa 2.Wanyiramba toka Singida 3.Wamburu toka Karatu 4.Waluguru toka morogoro Wana Jf mm naishia hapo, unaweza kuongeza chat yako.
1 Reactions
25 Replies
7K Views
jaman wanna jf natafuta marafiki Wa kike Wa kuchat nao ktk pm kama upo tayari Fanya kuni pm
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Naingia gheto tu natoka kupata zangu daku nikicheki naona mwezi juu ya gypsum ya gheto langu !! Kesho no job sikukuu wadau !!! Source:: mwenyewe!! Mpaka sasa bado upo kama unabisha njoo uone
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom