Kulikua na shindano la kula ugali na mboga ya ajabu.
M2 wa kwnza alikula ugali na chumvi mfuko mzima.
M2 wa pili alikula ugali kwa kushushia na maji,alimanusura ashinde.
Ndipo akatokea m2 wa tatu...
hili jina linanitatiza.. ni tumboo kwa maana ya opposite na mgongo au tumboo kwa maana ya zile zana za kiume ziwe mbili..
mean tu=two/2 then malizia na hiyo iliyobakia..
au ni vipi tumboo...
Jamani kuna kabinti kameniloga sijui.
Kwa kweli sijui nini kimenikuta, kananigombeza hako! akinipigia simu nakimbia kama vile kuna bomu limerushwa ili tu asisikie kelele za sehemu niliyopo...
Hello jf,
Naomba kujua tabia za mwanamke unaetaka kumuoa zina shabihiana na nani upande wa kwako pindi unapotaka kumchunguza?
Maana kuna wengine hawana ile hali ya kuolewa na wakadumu na ndoa zao.
kiwatengu nimekaa weekend nzima tupate hata gazeti la udaku lakini hatujaona kitu.. au ndo kuishiwa habari?
CC Khantwe mama mkwe heshima yako, janeth1 shem nakumiss romantic eyes humalizagi tu...
MAAJABU MENGINE HAYA:Ninakufahamu: ni Mnyakyusa,unakijua vizuriKinyakyusa,umekulia Mbeya Unyakyusani,Umesoma darasa la kwanza mpaka Sekondari ndaniya Unyakyusa mkoani Mbeya. Ninajua baada yahapo...
Wadada wengi wa Dsm (niliwaona nilipoendaga) hasa wale wenye miguu myembamba wanaogopa kuvaa nguo fupi. Wengi wao hawajiamini, na wanaume eti nasikia na wenyewe wanataka wanawake wenye miguu...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa nikipenda sana kusoma hizi post za JF na nafurahishwa na post za wengi kwani hunifanya nijisikie kama niko na marafiki wanaonipa raha.
Mara nyingi nimejikuta...
Ni lunch time naenda kupata msosi sehem. Ugali unatolewa toka mfuko mweusi ulio ndani ya sufuria lililo juu ya moto. Naangalia tu najiambia siku nyingine sitakula tena. Hali ni hiyo hiyo kwa wali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.