Heri lee
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 981
- 538
Pole kwa swaumu
Nashangaa sana hili jambo inajulika madada wapo wengi zaidi ya wanaume sasa kila demu ninae muaproch anasema ana mtu kila demu ana mtu wake si mbaya lakini chakushangazaa vijana wanadai wako single hii inamaanisha KILA MWANAUME ANA MADEMU WENGI ILA MADEMU HAWAJALITAMBUA HILO.