Akina dada na nyie mnakera sana

Akina dada na nyie mnakera sana

Galadudu

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
2,304
Reaction score
780
Umepanda daladala na ukakuta viti vyote vimekaliwa.....ukaamua kucmama ili tu uwahi kwny pilika zako.
Sasa kero inakuja kwny hiyo mikoba yenu, tena cku mnabeba mikubwa kama mabegi.
Umecmama karibu na kiti alichokaa mtu na mkoba wako unamletea kero na hilo wewe unaliona lakin haufanyi jitihada za kuliweka vzr....inakuwa kama vile unamkomoa huyo abiria.
 
Dawa yao ni kununua gari kwikwikwikwi hahahahaha
 
shangaa sasa twin eti analalamika kama yeye anautu si ampokee mkoba?
Think twice.....mtu anayelalamikia huyo ukute mwenzie ana mizigo lakin mtu anashindwa kumpokea hata kimfuko/kabeba mtoto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom