Vyeti vya ndoa,

Vyeti vya ndoa,

Kilewa Son

Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
56
Reaction score
7
Daah, hakuna mtihani mgumu kama ndoa, na kuthibitisha jinci ulivyomgumu unaanza kukabidhiwa cheti cha kufudhu kabla ya mtihani, tofauti na mitihani mengine kama necta na nacte.. Take care wanandoa..
 
Tunapomtanguliza mwenyezi, tunaamini kila jambo mbele yetu tutashinda.
 
Back
Top Bottom