natamani taja majinina yooote....

natamani taja majinina yooote....

Wewe data nitakuchapa ujue??? Yaani unaniita mie mnafiki?? Ngoja nimuite my husband Mr Rocky aje akunyooshe.

NB: Hicho kimchina chako touch screen ujifunze kukitumia vyema mf. Majinina ndo nini sasa? Namakumbuka ndo nini? ?Dena tamsi ndo nani huyo??
 
Last edited by a moderator:

Huyu data naona kaja na mwenge mjini na bado ule ukijiji haujamtoka aise
hajui watu wanaishije mjini mpaka ana mwita my wife wangu mpendwa mnafiki Dena Amsi msamehe bure atoe vumbi la kijiji kwanza na aangalie majengo yameota juu ya mengine huku mjini

Cc Ntuzu Tized, muuza ubuyu
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyu Dena Amsi si ndio yule kigoli niliyekabidhiwa akitokea shamba kuvuna lakini??? Na ilikua baada ya mumewe kuwekwa mateka na miss chagga ? Aisee kiwatengu na Ntuzu nisaidieni apa moyo unaniuma naliwa vyangu ivi ivi aisee!!!!

Hivi kwani ndoa yangu na Dena Amsi ilivunjwa na nani aise mpaka ukabidhiwe wewe Tized
Maana hakuna sehem hata moja nilideclare kuwa ndoa yangu imevunjika na kukkabidhi talaka mke wangu Dena Amsi
Hii ndoa ina miaka kadhaa humu na haivunjiki kwa maneno tuu muulize Kaizer na Nicas Mtei na Arushaone wanaijua pia na huyo kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Aisee hii ndoa yako mkuu ikonimara sana asikwambie mtu

Unamuona Tized anavyotaka kuharibu hali ya hewa aise
Eti anasema alikabidhiwa Dena Amsi sijui na nani na kwenye kikao kipi
Isije ikawa ni yale mazungumzo ya baada ya castle lite kadhaa kuwa kichwani hajui kuwa yale huwa ni off mic na hayana uzito wala hayathaminiki
 
Hahaa labda Ntuzu aje hapa amtetee
 
Last edited by a moderator:
She is very delicious I can tell so far and at times such as this. Kaizer unataka kunifanya nitoe ushahidi aa ambao sijapanga kuutoa. Anyway ukimuamsha aliyelala utalala wewe... so ngoja njikalie kimya nijilie tu vyangu mie. MTUWACHE TULALE

Aisee......
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kumbe unao wawili...? Hongera

Mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga

Hahaa labda Ntuzu aje hapa amtetee
Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yule

She is very delicious I can tell so far and at times such as this. Kaizer unataka kunifanya nitoe ushahidi aa ambao sijapanga kuutoa. Anyway ukimuamsha aliyelala utalala wewe... so ngoja njikalie kimya nijilie tu vyangu mie. MTUWACHE TULALE

:A S-eek::A S-eek::A S-eek:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:

Aisee......

Umeona mtoto alivyo mharibifu huyu eehhh na anakuja hapa kusema eti anamtaka shemeji yake
Kweli kama kuna chuo wanatoa certificate ya kukataa undugu naomba nifahamishwe nikachukue cheti cha kumkataa Tized kuwa ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga

Ntuzu hana la kusema maana na yeye ni mzee wa mchepuko mara mke ni Khantwe ila anamtaka miss chagga mara ladyfurahia haeleweki yule

:A S-eek::A S-eek::A S-eek:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:😛eep:

Umeona mtoto alivyo mharibifu huyu eehhh na anakuja hapa kusema eti anamtaka shemeji yake
Kweli kama kuna chuo wanatoa certificate ya kukataa undugu naomba nifahamishwe nikachukue cheti cha kumkataa Tized kuwa ndugu yangu

Hahahaa kuna seheme ya usajili wa vizazi na vifo nadhani.patafaa kukataa undugu mkuu
 
Last edited by a moderator:
kitu kizuri kula na ndugu yako.

mchepuko huwa hauhesabiwi mkuu kabanga

umeona mtoto alivyo mharibifu huyu eehhh na anakuja hapa kusema eti anamtaka shemeji yake
kweli kama kuna chuo wanatoa certificate ya kukataa undugu naomba nifahamishwe nikachukue cheti cha kumkataa tized kuwa ndugu yangu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unaninyanyapaa waziwazi hivyo? Ila kwa kuwa nimeshakabidhiwa, haina neno nilitaka tu political acceptance.

Naenda pale faster aise kufanya ze nesesari

Undugu kwenye hizi mambo haupogo aise ni mwiko kabisa mkuu Tized

Inauma eehhh ngoja nifute undugu kwanza tena naanzisha thread kabisa
Halafu Tized huyu ndugu utafiti alipelekwa na mafuriko ya wapi aise au yale ya jangwani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom