PANUA! naogopa!,PANUA! naogopa!``

PANUA! naogopa!,PANUA! naogopa!``

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
PANUA! ~ naogopa!,PANUA~ naogopa!`` Ni maneno yaliyosikika kutoka chumbani na kumfanya mpita njia asimame na kujisogeza karibu na dirisha ili kusikiliza vzuri...?PANUA! naogopa bwana!,~ Kwanini unaogopa?,~Nitatokwa na damu nyingi.Jikaze basi kwani hujawahi hata siku moja tokea uzaliwe?,~Ndio tokea nizaliwe sijawahi kung'oa jino``.Mpita njia akakasirika:~ahh! kumbe hii hospitali,tunatiana presha bure wehu nyie.
 
Hahahaaaa teh teh teh teh..!!hata kama niwewe pia ungeingia presha..!!
 
Utani mwingine sio huu, ningejua ni jino nisingesoma thread
 
Nimecheka sana, aisee lazima ikubambe hii
 
Jf bana! Taka usitake kucheka ni lazima!

Kha ha haaaaa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom