Hivi unaweza kununua kicheko for 700,000/=Tsh..??!

Hivi unaweza kununua kicheko for 700,000/=Tsh..??!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
41,022
Reaction score
47,116
Hawa hapa wanauza kicheko kwa bei hiyo..

700,000.PNG
 
Hii sijaisoma bado lakini whatever the case ukiwa nazo mbona hiyo cha mtoto???
 
Kama unaweza kwenda sushi bar, ukanywa na kula kwa tzs 60,000/- na ukarudi kulipia gym kuondoa ndambi! What is 90,000/- kwa ajili ya kucheka?
 
Vilevile atambue kuwa kucheka ni tiba
Kweli mkuu....unakuta matajiri yanatoa hela nyingi kwenda kucheka au kusikiliza orchestra ili kukata stress. Na magonjwa yao mengi huwa yanaanzia kwenye misongo ya mawazo...kwa hiyo hizo burudani ni kinga
 
Nimeskia ni show ya anna kansiime
Wanamleta dar.

Ila hio bei
 
Nimeskia ni show ya anna kansiime
Wanamleta dar.

Ila hio bei

Kwa kweli ni bei ambayo kiutaratibu wangu binafsi inaangukia kwenye category ya bei za ki-cadaver/ki-mbwa (No offence).., its ridiculously expensive!!!!
 
Kama unaweza kwenda sushi bar, ukanywa na kula kwa tzs 60,000/- na ukarudi kulipia gym kuondoa ndambi! What is 90,000/- kwa ajili ya kucheka?

dada, unajua mtu maskini anakuwaga mjuaji sana pale anapokuwa hana kitu! kila aina ya mipango ya maendeleo anakuwa anaijua, financial management anajua from A to Z!

ngoja sasa siku zimtembelee kidogo, ------ ndo yanalia mbwata!..

By the way, nadhani kuna income inequalities katika jamii yetu, possibly kama naendesha gari ya 40 mil, tena mali yangu halisi, usitegemee ntaonekana kwenye club ya buku 5!... sio rahisi.

let them go, those who can.
 
Kuna msemo wanasema,,,,"SINA HELA USISEME HATUNA HELA"


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom