Ukisikia watu wanakuteta ujue

Ukisikia watu wanakuteta ujue

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,004
Reaction score
37,911
1. Ukisikia watu wanakuteta ujue wamekukumbuka........Source: BAJAJ

2. Kuendelea kunenepa wakati ninakudai hela ni ishara ya dharau....Msemo wa kwenye bodaboda.

Ongeza na ya kwako tupate maarifa
 
Back
Top Bottom