Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja
aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya.
MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi....kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua...
Yaani kuna watu wanaboa jamani, nilikuwa na week end yangu murua pande za Lushoto nilikuwa kwenye kiota flani hv. Nilitoka kazini ijumaa muda wa lunch nikakanyaga wese mdogo mdogo nikafika mombo...
Nimekuwa nikisikia hapa JF kuna team mbalimbali lakini makocha wa team hizo siwajui.Utasikia eti #Team Bazazi,Team wakaangasumu,Team wemasepetu,Team Diamond
Hivi hizi team makocha wao ni akina...
Huwa tunapoze kama watu ambao mambo yetu yako njema sana tuna magari tumejenga tunafanya kazi za maana sana tuna wachumba bomba sana ndoa zetu hazina matatizo tuna akili sana na tu werevu kupita...
Leo nimecheki hii movie ya kuitwa CRASH, kuna kipande kimenivunja mbavu hatari. Ni hivi; mama wa kichina anaingia mbio hospitali huku anapiga makelele Xiang Jiangxoooo! Xiang Jiangxooo! Xiang...
kila binadamu na mtazamo wake na fikra zake,ok naitaji rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kutaniana,kuchekeshana,kuliwazana pia kushauliana baadhi ya mambo,siwezi sema nina mchumba...
Hivi kuna madhara yoyote ya kutokufanya ngono kabla ya ndoa sababu mimi nina miaka ishirini{20} sasa lakini sijakutana na binti yeyote kimwili na kama hakuna madhara nianze au niendelee kujitunza...
KWA MLIOFIKIRI TUMEINGIA TRA/IKULU KWA BAHATI MBAYA NA HUKO MIPAKANI TUNAPISHANA TU NA BISHARA ZETU
HII NDIO ORIGN YETU NA HAYA NDIO MAOMBI YETU MIAKA NENDA
BOSS anamwambia seksetari wake:
Wiki hii
tutaenda wote Arusha kwenye
mkutano
fanya mipango yote
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda
na
bosi Arusha kwenye
mkutano
MUME (anampigia...
Mzee mmoja alikuwa amelazwa hospitalini, ni mgonjwa mahututi, alipokaribia mauti alimwambia mke wake, Siwezi kuaga dunia bila kukuambia jambo hili. Siku zote za ndoa yetu nilikuwa...
Redio wanapokea maombi ya nyimbo toka kwa wasikilizaji, ikaingia simu moja toka kwa mtoto wa kike akasema anataka kuomba wimbo anaudedicate kwa mama yake.
Mtangazaji: Kwa nini unataka kudedicate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.