Bukya
Senior Member
- Apr 1, 2014
- 196
- 121
Mzee mmoja alikuwa amelazwa hospitalini, ni mgonjwa mahututi, alipokaribia mauti alimwambia mke wake, Siwezi kuaga dunia bila kukuambia jambo hili. Siku zote za ndoa yetu nilikuwa ninakudanganya. Si kwamba nilichelewa kurudi sababu ya msongamano wa magari. Si kwamba nilikuwa na zamu ya usiku kazini. Si kwamba nilikuwa na ovatime bali nilikuwa na wanawake wengine tena wengi.
Mke wake alimtazama pale kitandani na kumwambia taratibu, Mambo yote uliyosema ni kweli na nilikuwa nayajua na ndio maana nimekulisha sumu.
Mke wake alimtazama pale kitandani na kumwambia taratibu, Mambo yote uliyosema ni kweli na nilikuwa nayajua na ndio maana nimekulisha sumu.