Amo1
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 1,753
- 2,881
Hivi kuna madhara yoyote ya kutokufanya ngono kabla ya ndoa sababu mimi nina miaka ishirini{20} sasa lakini sijakutana na binti yeyote kimwili na kama hakuna madhara nianze au niendelee kujitunza alafu kila siku naomba Mungu nije nioe bikira na ndio maana najitunza hivi nitampata bikira kweli?au ni ndoto za mchana.