JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani humu wengi tunatumia majina feki je jina lako kamili ni nani? Mimi langu ni GRACE ANDERSON.
0 Reactions
269 Replies
29K Views
Swali lipo kwenye attachment ya screenshot hapo chini
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ilikuwa ndani ya dakika tano tu , Munil aliingia kwenye baa hiyo akiwa amebadili nguo. Alivaa gauni nyeupe , refu hadi kufunika miguu wakati awali alivaa gauni jekundu pia refu ! SASA ENDELEA...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Mi mzima! Ulimwengu huu tunaishi kwa principles no matter what we do! In biologically its called balance of nature. Ukweli kuhusu nini? Nowdays kumekuwa na mabishano makali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katiba Mpya izingatie yafuatayo; 1.Nyama iuzwe kwa bei ya dagaa 2.Nauli ya ndege kwenda Afrika Kusini iwe bure kwa sababu ni mteremko 3.Sukumawiki ichunguzwe kwanini haiwezi sukuma mwezi au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wizi mtupu!
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo huko mbezi jamaa kamfumania mtu na mke wake .Jamaa si kamfumua marinda mwenzie na kamlambisha koni nimeshindwa kuweka picha nenda usipojipanganitakupanga. Blog halafu aliyefumania anaemfumua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimekua nikiona watu wanavaa ''PETE zaidi ya moja VIDOLE vya mikononi na baadhi VYA MIGUUNI'' wengine huvaa hata mbilimbili...mimi nilidhani kila pete ina inamaanisha ina mtu wake....nielimisheni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
FORUM MATES LEO NDIO LEO...NASHUKURU KWA UZIMA.... TO TYTA
0 Reactions
63 Replies
4K Views
Haya endeleza uzi tuone utaishia wapi
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nani mtani jembe? Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko. Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi: MUME: Fungua mlango! MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuzamia Ulaya jamaa yetu mmoja hatimaye akawa anaishi Uswisi. Lakini maisha yake yalikuwa ya kujifichaficha maana alikuwa hana vibali vya kuishi huko. Washikaji wenzie wakamwambia dawa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wakata kiu, tupieni majina ya bar za zamani; Mie nakumbuka Mpilipili,Deluxe -Magomeni, Bingwa bar, Congo bar-Kkoo,Kingstar,White Inn,Bobs Motel, Queen of Sheba,Gaza one,Mori bar-Sinza...endelea.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
DUNIA HII.... ISSUE ILIKUWA AENDE KUOMBEWA ATI ANA HOMA KALI ....
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jaman wale wote mlioko matema beach, mababu, kisyosyo, makwale, ikombe. Naomba mje hapa nmewamis ndg zangu nataka kurud nyumban lakn nmeshndwa.
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Hapa bango inawezekana kweli hii?
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Juzi mwanamke mmoja mjini Moshi ameshindwa kujitetea mbele ya baraza la wazee wa mila kwa kumsababisha mumewe kuvinjika mkono, Kisa mwanamke alikua anapigwa na mume chumbani kwa bahati mbaya mume...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Namshukuru mungu kwa kuendelea kunipa uhai mpaka siku hii ya leo ambayo natimiza miaka kadhaa, bila kusahau zawadi ya pekee ambayo amenipa mama yangu kunibeba katika tumbo lake kwa miezi tisa...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimewashuhudia hapa kwa mkuu wa wilaya Arusha watoto ni warembo hatari, wana kila sifa ya kuwa kuwa katika kitengo hicho, ikabidi shughuli zisimame kwanza kwa muda mpaka wamalize mambo yao eneo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jana amewaliza wenzie!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom