madaili
Member
- Mar 6, 2014
- 32
- 27
Redio wanapokea maombi ya nyimbo toka kwa wasikilizaji, ikaingia simu moja toka kwa mtoto wa kike akasema anataka kuomba wimbo anaudedicate kwa mama yake.
Mtangazaji: Kwa nini unataka kudedicate wimbo kwa mama yako?
Mtoto: Mama ana kazi nyingi sana, mpaka jumamosi na jumapili anafanya kazi, kwa kuwa nyumbani tupo wawili tuu mimi na yeye, basi weekend ameamua kunitafutia tuisheni hata sina siku ya kupumzika, akiwa kazini huwa anasikiliza redio hii kwa hiyo naomba unipigie wimbo ili asikilize ninachotaka kumwambia.
Mtangazaji:Ningekuwa na mtoto kama wewe ningefurahi sana, yaani huyu mtoto anaelewa sana maisha, angekuwa mtoto mwingine hapa angekuwa analalamika tuu na kulia lia, enhe hebu tuambie ni wimbo gani unataka?
Mtoto: Wimbo unaitwa "Mwanamke juu ya nini wanitesa mwanamke mwenzio"
Maneno ya huo wimbo:
Kazi zako mwenyewe, umeiomba mwenyewe;
Wala mimi hazinihusu kwanini wanihangaisha;
Mimi sikukulazimisha, wacha kunibabaisha;
Kila siku matuisheni, homework hazijaisha;
....