Ambao Hatutoi "LIKE" Msitufikirie Vibaya

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,396
Reaction score
9,264
Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE.
 
Hapo juu kuna kisehemu kimeandikwa Touch hapo ukiingia inaleta upande wa web then unaitumia kama vile computer, baada hapo unamwaga malike
 
Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE.

pole mkuu halafu kula LIKE ya maandishi maana nami natumia wapsite
 
Kwani hiyo "like" inaongeza au inapunguza nini? Nisaidieni nami nianze Kumwaga like za kutosha!
 
Natumia Wapsite Maana Huwa Nikitumia Touchsite Huwa Inanisumbua Ku Reply Inanipa Shida. Maana Kuna Jamaa Kaniambia Mimi Mchoyo Wa Kutoa LIKE.

Kwani unatumia nini.........mbona kila chombo kinatoa like...........?
 
Back
Top Bottom