Ukitaka kumkamata

Ukitaka kumkamata

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Ukitaka kumkamata panya weka mtego uweke mkate.

Ukitaka kumkamata mbwa tumia mfupa.

Ukitaka kumkamata samaki tumia ndoana.

Ukitaka kumkamata mwanaume tumia mwanamke.

Je ukitaka kumkamata mwanamke utumie nini?
 
Hata mi nategeka kama huamini we nipe ela uone nnavyotegeka

Hehehehe wanawake wengine mmeshindikana kiama. Bi mkubwa si ushaachwa jamani, eti ooh nipe hela hehehehehe, akupe mumeo huyo??. Ntuzu mpe mwenzio hela, mambo ya kumsifia oooh baby napenda kipilipili chako kumbe unabania hela ya brazilian, ushindweeeee
 
Last edited by a moderator:

Baby mi kwako sina ujanja nimekatika
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom