Kama kichwa kinavyojieleza naomba kwa yeyote aliye maeneo ya matema beach, mababu, kisyosyo, ikombe,makwale hadi ngereka naomba mje hapa nmewamiss sana wakuu.
Ni kitambo sana sjaja huko nyumban...
najishangaa mwnywe nimekuwa nikimuota sana huyu stahk meya wa ilala duh cjui ni mawazo y maisha au vp?nkimwona kwny magazeti sasa nalisoma mwaka mzma,akiwa kwny habar nataman iwe habar hyo tu duh...
Nakumbuka tu,
Barua yangu ya kwanza ya uchumba ilikamatwa nikiwa darasa la sita. Sababu ya uchotara wng kuna mwl alinichapa viboko vingi kwa ubaguzi. Eti na mzazi (mama as baba alikuwa kesharudi...
Ticha katoa assignment madogo wachore
mchoro wowote mzuri kwenye karatasi nyeupe.
Baada ya dakika 6 dogo mmoja akasimama
kumpelekea ticha karatasi kwamba kamaliza.
ticha kucheki akaona...
:mad: INASIKITISHA JAMANI SOMA HII! Baba na
mama baada ya kurudi kazini pamoja wakakuta
BARUA iko mezani SEBULENI ikisema.... "Baba
na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma
ujumbe wangu huu kwenye...
Wachungaji 3 walikutana waelezane matatizo yao
ili waweze kuombeana: wakwanza, jamani mm
tatizo langu wizi yaani kila nikimaliza ibada lazim
a
niibe hela za sadaka.
Wapili, jamani mm tatizo...
Mi naona phone sex ni kama mtu kuangalia movie za ngono peke yako unaishia kutoa udenda tu, japokuwa inawasaidia wengine katika kudumusha long distance relationship, thats what people say.
Phone...
wakuu habari...nimekaa nikitasmini.nimegundua hii kauli :KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI; ni ya kufundishana uwoga na kutojiamini,maana kuna mchezo naona hapa maskani mmh hatare.jamaa anakula girl wa...
Naicopy kama ilivyo mnishauri before sijamjibu hizi sms za mchepuko wangu
Yaani d am so happy jana ulinifurahisha sana, sijawahi kusuguliwa hivyo yani huwezi amini hapa nilipo nahisi bado maumivu...
1) I LOVE HIM--- (go tell him in his
inbox.
2) ALL MEN ARE THE SAME---( who told you to try us all??.
3) IM BACK GUYS, I HAVE MISSED YOU SOO MUCH!! ( ooh please, we didn't even notice you were gone)
(Kutoka kwa mdau huko majuu!)
My wife and I were having a
serious quarrel when I said to
her..."pack your things
and ....."At that point, her
phone rang, so I had to stop for
her to receive...
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi.
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu...
Basi niko mitaa fulani ya Musoma wao wanatamka Msoma, nimekaa tu mara dada mmoja akapita jirani akaanza mashambulizi kwa mkaka kwa matusi makali kama pilipili.
Matusi yao ni "nitakuchinja mpaka...
Maswali gan hupend kuulizwa na girlfriend/ boyfriend wako!? me binafsi kuna maswal mawili sipend kabisa kuulizwa sababu ntakudanganya tu... eti ushawah kuwa nao wangapi!? huwa nawaambia watatu tu...
dokta alikua anakwenda kuwinda, hivyo akamuachia majukumu msaidizi wake jason.
doka; jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako angalia wagonjwa wote.
jason; ndio mkuu
dokta alvyorudi...
Jamaa alikuwa anamdai mwenzie laki tano lakini kukawa na kukwepana kwenye kulipa , akaona aende kwa mwanasheria; JAMAA: Jirani yangu namdai laki tano inaonekana anataka kukwepa kulipa nifanyeje...
Heshima kwenu wana jf. Natumaini mko poa. Naomba msaada wenu tafadhali natafuta contacts za Academic Master wa shule hii niongee naye. Mwenye kuweza kuwa nazo anisaidie nitashukuru sana.
Nime...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.