Rafiki wakike in whatsapp add me 0719450426

Rafiki wakike in whatsapp add me 0719450426

JONATHAN KAMWAVAH'S

Senior Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
184
Reaction score
24
kila binadamu na mtazamo wake na fikra zake,ok naitaji rafiki wa kike kwa ajili ya kubadilishana mawazo,kutaniana,kuchekeshana,kuliwazana pia kushauliana baadhi ya mambo,siwezi sema nina mchumba au sina cos mi naitaji rafiki but tukiendelea kuchat kwa muda mrefu utafahamu tu tena na mengi zaidi ya hilo,napenda rafiki mcheshi mwenye kujitambua,nimeanza na namba ya whatsapp but nitakupa na mawasilianro mengine ukishakuwa best yangu,urafiki hauna dini kabira wala rangi,ila nazingatia umri ili tushauliane vizuri uwe una miaka kuanzia 19 na kuendelea mimi nina 29 miaka,Asante na karibu sana.
 
Taifa langu linaangamia! Huyu ni mtu mzima kabisa wa miaka 29!
 
Taifa langu linaangamia! Huyu ni mtu mzima kabisa wa miaka 29!

utuuzima wangu na kuangamia kwa taifa lako kunausiana nini!au kutafuta marafiki humu wewe unaona kitu cha ajabu saaana,kweli ujanja mwingi mbele giza,unaweza ukajiona unaakili sana kumbe ni kati ya wajinga,marafiki haijarishi umri hata rais wako ana marafiki,mama na baba yako wanamarafiki,n'nchi yako pia inamarafiki na inazidi tafutamarafiki,na hata katika sherehe za nchi utasikia "hawa ni viongozi wa n'nchi marafiki"sasa unachoshangaa kwangu ni nini!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom