JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hivi huu msemo wa FUPI TAMU NDEFU INAKERA unamaanisha nini?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=wa-F1EaXOnw&list=PLFicgoLmmsguEv7FMKkXxL4zdZtMECy4z Daaah! hebu aje mtu anitafsirie hapa. Lugha ngumu kweli AT pamoja na CHOLO. Kitu Swaffi!
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wanaume hupenda wadada shauri ya uniform . Kwa mfano makundi ya wanafunzi, manesi akifika hospitali, askari. waitress wa hotelini ama barmaid wenye uniform.Sasa sijui kuna kitu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Imethibitika kuwa Dr manyau nyau hajawahi kula paka wala nini.... Ile ni geresha tu, ukweli ni kwamba ile huwa ni burger tu... nasema huwa anatafuna burger na kutumia uchawi kuonesha kuwa yule...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwanadada huyu kanidokeza anataka kugombea udiwani katika kata yake kule kijijini kwao. Mimi mwenyewe sitoshi kumshauri mdau huyu maarufu katika jukwaa hili. Ila namuunga mkono kwa wazo hilo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
bora kula makande kuliko kula pilau la masimango
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Unakuta unaenda saluni kunyoa lakini kinyozi anataka kutengeneza pesa mara anakuuliza vipi unataka scrub, unaonaje tukikupaka dawa ya mba, mara akuulize kama unataka kupaka piko,ningetaka yote hao...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni rahisi sana kuwa group admin whatsapp kuliko group admin chuo ni rahisi sana kumtongoza msichana kwenye simu kuliko face to face ni rahisi sana kufaulu form four kuliko form six. Ni rahisi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BREAKING NEWS BREAKING NEWS Taarifa zilizo2fikia hiv punde ni kwamba Mcharo‬kafirisika,mke wake sa hiv ni dagaa kwa mlenda mpk anawakera majran,mwanae mcharo karudshwa nyumban kisa ada...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Bakhili na mwanawe mdogo walikuwa wakitembea tembea mjini, mara wakapita watu wamebeba jeneza wanakwenda kuzika, wakamsikia mke wa marehemu analia akisema: Mume wangu ehe ehe ehe!! leo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hawajamaa huwa wanataja majina mengi sana wakati wakusalimiana huku wakijigongagonga kifuani kwa ngumi, hebu tiririka hapa hayo majina,..makes.. So funny...
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Habari ya kazi wadau??mimi ni mgeni kwenye Jamiii forum ila napenda sana kusoma JOKES zenu humu huwa navunjika mbavu sana..:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Ten kilometers barefooted in the bush, Started raining on the way to fetch some water, Poor woman had a baby on her back, Was struck by lightning on her way, To fetch some water... She tried...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kauli 10 CHAFU za walimu darasani, unakumbuka ipi hapa?? 1:Mkimaliza kuongea niambieni niendelee kufundisha 2:Baba yako kauza ng'ombe ili alete ng'ombe mwingine shule 3:Kama unajua kuliko...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa za kiintelijensia zinasema leo hii kutwa nzima Erickb52 ameonekana busy na magudulia ya maji anazima moto Nairobi. Chocs mpenzi siku nyingi unajua nakuzimia,saa ya ukombozi ni...
8 Reactions
89 Replies
6K Views
People say that women talk too much. But there's no problem, cause the male ear's is SELECTIVE EXAMPLE When a women say; This house is mess, Honey you and i need to clean this, Yuor...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bishanga niko Didis masaki, nikigeuka kushoto oh bishanga kam zis wei,nikigeuka kulia jamani bishanga long time no see,nikigeuka nyuma darling bishanga naomba ela nikatoe mimba yako,mbele yangu...
3 Reactions
58 Replies
4K Views
kazi kweli kweli
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila, 1.Msinitongoze - hii ina...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kila Ninapopata Funguo Ya Maendeleo Nahisi Kuna ----- Anabadilisha Kitasa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom