JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
http://youtu.be/YB4I0LD3M0w
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama sio mhalifu kwa nini uogope defender? Je, wewe ni kibaka, mwizi, jambazi, mvuta bangi/madawa ya kulevya au muuza madawa ya kulevya! Hawa machalii napenda sana nyimbo zao na jinsi...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
yani ukidhani eti watakusapoti ulichoandika maweee umeumia watakukandia haooo mpaka ujionee aibu mwenyewe sasa maajabu yanakuja pale ambapo unatarajia kupondwa wao wanakubeba ,sasa usije kutegemea...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
TFF inajua kabisa Machi 8 ni Sikukuu yetu wana-Yanga halafu wanatupangia mechi leo! Mwanasheria wa Prison Jeni Muro tusaidie..
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habwari zenu wadau. Jameni hivi kuna watu wana macho nyuma na mbele?Unakuta mtu anaelewa kuna mtu nyuma wakati hajageuka.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
1 Reactions
0 Replies
861 Views
Enyi wamiliki na waanzilishi wa Jamii forums chonde chonde nawaombeni mfunge hii huduma yenu kidogo japo hata kwa muda wa mwezi moko tu ili gentamycine mahudhurio yangu na ufanisi wangu kazini...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu.. Nimeulizwa swali na jamaangu mmoja nimeshindwa cha kujibu. Swali liko hivi...Mchagga na Sigara ni nani hasa anaetokea Moshi? Yaani ni nani hasa mzawa wa moshi.. Ntashkuru kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
dorolager. dorokulewa. dorouchizi. doroooo dorobucci ooooh!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Fikiria una shilling laki moja na unatakiwa kumpa mzazi wako mmoja tu. Utampa nani Baba au Mama.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WE ACHA TU, Kuna vitu najua Mungu anajua akivipitisha kwangu itakuwa shiiidaaaa. Kwa mfano ikitokea nipate zali la mentali, Mkuu akiamua kunichagua kuwa Mkuu wa Wilaya, hapo jueni kabisa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mtu mweusi ni mgumu sana kuzoea pesa,nimekuwa nikifwatilia ebana sisi watu weusi tuna mbwembwe balaa.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NIMECOPY NA KUPASTE SIMULIZI YENYE KUSISIMUA NA KUELIMISHA Kijana mmoja aliyekuwa na maradhi ambayo yalishindikanika kupata dawa,kiasi cha kusubiri siku yake ya kufa aliamua kujiunga na jeshi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msisahau Njia ya msalaba
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nione kama wewe ni mkali wa maswali ya mitego twende kazi.Ni mji gani una majengo ya kifahari na jina la mji huo ni kifaa kitumikacho Msikitini na Kanisanina vile vile jina la Mji huo ni...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
A Rastaman and his friend went to the beach.The friend went for a swim and started to drown. He came up the 1st time,he shouted "Jah help I." He came up the 2nd time and shouted "Sellassi save...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Yamesemwa mengi sana kuhusiana huyu msanii wa bongo movie Lulu kuwa kila mwanaume anayekuwa naye kimapenzi kwa muda mrefu mwisho wake ni kifo. Kama sio kwa kusukumwa ukutani basi kwa pressure eti...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi? I hope mpo salama salmini. Wanajamvi mimi ni bwamdogo tu wa miaka 22 hivi ambaye nimemaliza form 6 mwaka jana ila mwezi huo unaokuja wa Nyerere ndo nitaanza chuo. Katika...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Back
Top Bottom