mkhitaryan
Member
- Feb 20, 2015
- 25
- 9
Habari ya kazi wadau??mimi ni mgeni kwenye Jamiii forum ila napenda sana kusoma JOKES zenu humu huwa navunjika mbavu sana..:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Pole sana ndugu, kwa hyo kwa sasa umebakiwa na mbavu ngapi nzima! Kabla tatizo halijawa kubwa muone daktari.
Jokes ztu??? so unamaanisha humu ndani wamejaa mataira au?
Kumbe ulikuwepo mda mrefu kusoma jokes zetu leo umeamua kutujok kwa hodi du!! nshida