Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
Kuna baadhi ya wanaume hupenda wadada shauri ya uniform . Kwa mfano makundi ya wanafunzi, manesi akifika hospitali, askari. waitress wa hotelini ama barmaid wenye uniform.Sasa sijui kuna kitu gani kwenye uniform huwa tunamwambia akioa amtengenezee mkewe uniform ya shule flani ama bar flani