JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hi jf ukitaka kutumia hizo jokes hapo utatumiaje. Kama vile kumtumia mtu kwenye sms plz. Thnx
0 Reactions
17 Replies
5K Views
John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile ile akaguswa...
13 Reactions
20 Replies
7K Views
sikiliza hizo bujibuji
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Sisi tunamkula mungu wao ambaye ni ng'ombe
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vitu vingine vinachekesha ila ndo hali halisi.Shosti mmoja kanipa story leo nimeshangaa san aeti kuna kijana mpangaji mwenzake wana hook zaidi ya miezi nane sasa lakini...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Hi wadau wa Jamii Forums. Ni swali ninalouliza tu maana nimeona mahali et 75% ya watanzania walitupia kwa Mara ya kwanza profile picture Facebook 20% ni My Space 5% sehemu nyingine kama kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau nlikuwa na girlfriend wangu but akawa ananisumbua sasa one day nikiwa nae out akanitambulisha rafiki yake,slowly huyo rafiki yake akazimika nikampa mautamu. After that point kukawa na...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani wale wanafunzi tuliosoma Sengerema Sec school Sesesco miaka hiyo tukutane hapa. kitambo sana jamani nawakumbuka sana kina ALBERT ANTONY,JULIUS JOSEPHAT ,DEUS MSUSA na wengine wengi sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau habari za jumapili. Tukiachana na maswala ya tabia zao na mambo mengine kiukweli kabisa hawa wadada wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro asilimia kubwa ni wazuri sana wa sura, Sasa ukikutana...
8 Reactions
137 Replies
30K Views
Binafsi napenda nyuzi za mzizi mkavu nguruvi3 pasco huwa lazima nipitie kuzisoma wewe je
4 Reactions
320 Replies
19K Views
Ngonyan Mapunda Matembo Hivi Y hawa jamaa...,wanapendelea majina ya wanyama????? Hebu funguka na weewe majina ya hawa ndugu ze2 unaowafahamu.
0 Reactions
21 Replies
16K Views
Kimbia uje haraka mama ukichelewa utakuta wameshaniua,kuna majambazi wananiwinda hawataki kuyaona mafanikio yangu na roho zinawauma mno njoo haraka nikupe urithi wa mali. Ukichelewa ndugu zangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
fomu toka kwa baba mkwe mtarajiwa. ushauri wako muhimu! FOMU YA MAOMBI YA KUMUOA BINTI YANGU KIJANA, JAZA FOMU HII KWA MWANDIKO WAKO MWENYEWE NA KWA HERUFI KUBWA. Mimi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye ujuz wa kujua majna ya koo za wakaz au wazaliwa wa mbeya afunguke nataman kuyajua jaman
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Breaking news HATIMAYE MMOJA WAO KAJIUZURU: Inatia moyo kuona watanzania sasa wanatambua umuhimu wakuwajibika katika ngazi tofauti. Baada yakufanya madudu makubwa na kushindwa kutimiza matarajio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zilizotufikia pund e madereva wote wanàndamana muda si mrefu kwenda ikulu wakishinikiza wapewe wilaya ya temeke!!baada ya kinondoni kupewa makonda polisi wameomba wasifanye hivyo...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni Jumatano tulivu tarehe 25, February 2015, leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa Mzee Mohamed Said. Tuungane kufurahi naye kuikumbuka siku yake ya kuzaliwa. Mohamed Saidi FaizaFoxy na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu, nashukuru nimefika salama tunduma naombeni kampani yenu karibuni pm ila ni female tu wa tunduma.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vipi machifu. Mwenzenu kuna ishu imenikuta iko hivi nina rafiki yangu ana msichana ila mi na huyo malkia hatujuani wala hatujawahi onana, sasa jamaa akanipa kazi ya kumtega kupitia simu...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Back
Top Bottom