Bakhirli na Mwnawe

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,817
Bakhili na mwanawe mdogo walikuwa wakitembea tembea mjini, mara wakapita watu wamebeba jeneza wanakwenda kuzika, wakamsikia mke wa marehemu analia akisema:

Mume wangu ehe ehe ehe!! leo unapelekwa nyumba yenye kiza haina taa, haina chakula, wala haina chochooooote kile...!!!

Yule mtoto wa Mzee bakhili akamuuliza babake:

Atii...!! atiiii...!! Baba kwani huyu maiti anapelekwa kwetu eeh...!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom