paka akiondoka panya hutawala!

paka akiondoka panya hutawala!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Taarifa za kiintelijensia zinasema leo hii kutwa nzima Erickb52 ameonekana busy na magudulia ya maji anazima moto Nairobi.
Chocs mpenzi siku nyingi unajua nakuzimia,saa ya ukombozi ni sasa,okoa roho yangu kwenye mateso kabla hawara yako hajarudi.Usikonde siri yetu nitaitunza kama Nyerere alivyotunza siri ya muungano.
Nasubiri jibu lako fasta......tuma kwa PM hapa wanga wengi wakiongozwa na Lady doctor na genge lake la masukununu hawakawii kuwatonya mapatina wetu mwisho kisanuke.
 
Last edited by a moderator:
We si nnasikia una kisonono na kaswende? Sasa wataka umpunguzie Chocs virus kidogo?

Hivi na wewe unamsikiliza Nyani Ngabu,anaweweseka kwa umsongo wa mawazo yule kisa nilimnyang'anya mke,tena miaka mingi iliyopita,mke mwenyewe tushaachana,ila alinizalia katoto kanaitwa manoah.
 
Last edited by a moderator:
Lizzy njoo hapa nataka kuongea na wewe kidogo,nimesikia kuna mikopo inatolewa Tanzania Womens Bank na wewe ni kibosile pale.

Kwa hiyo na wewe ní WOMAN!!? hivi deni la FINCA umeshamaliza!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom