nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Ni rahisi sana kuwa group admin whatsapp kuliko group admin chuo ni rahisi sana kumtongoza msichana kwenye simu kuliko face to face ni rahisi sana kufaulu form four kuliko form six.
Ni rahisi sana kuwajali watu baki kuliko ndugu zako wa damu ni rahisi sana kucheat kuliko kubaki njia kuu.Ni rahisi sana kukesha unasolve possible kuliko kukesha unasoma madesa.
Ni rahisi sana kuwa na smartphone kuliko kibanda cha M- pesa ni rahisi sana kujiunga na vifurushi vya bundle kuliko kujiunga na saccoss.
Ni rahisi sana kuchaguliwa chuo kikuu kuliko kupata mkopo ni rahisi sana kujua mwaka huu ni mwaka kuna tuzo za mtv base kuliko kujua mwaka huu kuna uchaguzi.
Ni rahisi saana kupata ukimwi kuliko maralia ni rahisi sana yani sana kusoma ujumbe huu na kutokuelewa imeletwa kwenu kwa hisani ya watu wa marekani. 