Makande

Makande

kiini cha huu uzi ni nini?????
 
Ila makande mbona matamu yakiungwa vizuri,nayapenda kweli
 
Acha kubeza chakula chetu ww.Umewahi pata kande ya mahindi mabichi na maharage iliyolala? ni tamu kuliko hayo madudu yenu.
 
Back
Top Bottom