Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 461
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila,
1.Msinitongoze - hii ina wahusu wanaume mimi nina wangu tayari,ukinibuguzi sana nakuchuna mpaka ukome ila hupati kitu kwangu,nimemaliza chichemi tena.
2.Muwe mnanipa ushauri mzuri kama ambavyo ungempa mdogo wako au ndg yako yoyote yule
3.Nasikia huku sijui kuna PM,mimi sizitaki so mambo yote yawe wazi jukwaani
4. Matusi sijui michambo sitaki. hayo ndo yamenifukuza kule FB so na huku mkinizingua nakimbia nabaki wasap tu
5.Mambo ya kutumiana viunga vya uzazi sitaki, ila sijui kama ipo hiyo. kule wasap nimeblok wengi sababu hiyo
6.Napanda urafiki wa kawaida sana na wanaume,unajua wa kawaida eeh basi ndo huo huo!
7.Wadada nawategemea sana sana jamani mi bado mdogo kimawazo
Ni hayo tu kwa leo ila samahani kwa niliyemuzi.