Hizi saluni mnatuboa

Hizi saluni mnatuboa

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
Unakuta unaenda saluni kunyoa lakini kinyozi anataka kutengeneza pesa mara anakuuliza vipi unataka scrub, unaonaje tukikupaka dawa ya mba, mara akuulize kama unataka kupaka piko,ningetaka yote hao ningesema kabla.
 
Huo ni ubahili.Na kumbuka bahili hapendezi
 
Kwani ukiwa muwazi na kusema huna hela zaidi ya kunyolea unapungukiwa nini?
 
kwani ukiwa muwazi na kusema huna hela zaidi ya kunyolea unapungukiwa nini?????

Nimeenda kunyoa ningetaka scrub ningeanza mwenyewe. Madame B umekua mwoga cku hizi au tumezidi kuwa wengi
 
Last edited by a moderator:
Mi huwa naenda kunyoa lkn nikikuta mdada wa ukweli nafanya yote hayo kumbe ww hupendi pole
 
Nimeenda kunyoa ningetaka scrub ningeanza mwenyewe. Madame B umekua mwoga cku hizi au tumezidi kuwa wengi

Uoga wapi....nyie mnazingua bhana.
Ila niko njiani kwenda Ar, nikirudi nitakuja kwako
 
Last edited by a moderator:
je ulimwambia hapo kuwa hutaki huo upumbuvazi wake....
 
Ni lugha tuu ya kibiashara.ye yuko kazini.asiposema utajuaje?wengine huwa wanahamasishwa kwa maneno.
Kua mpole tuu useme leo mambo sio Shwari,siku nyingine.unaeleweka wala husumbuliwi tena.
 
hahah kidume utaanzaje kusema huna hela.... pale ni mapema tu tangu unaingia unavunga unaharaka, full kuangalia saa na kujijibu txt!!! akimaliza kukunyoa tu unawaambia kuna jamaa ananiwait hapo ntamuweka sana
 
Ya nini Mkuu nipate taabu akat nimewaambia nanyoa tu
 
Hahahah leo nimeshikwa kichwa mpaka nimetoa tip ya 2000 bila kupenda.hahah chezea dada wewe mshika kichwa.
 
Back
Top Bottom