Kichekesho:-
Eti basi na Fuso yamelipuka baada ya kugongana.
Fuso lilibeba matikiti maji.
Wazo:-
Kumbe tunaweza kutengeza petroli kwa kutumia matikiti.
Maoni yangu:-
Basi la abiria lilibeba...
Jana mishale ya jioni nilienda kwenye bike trail kunyoosha miguu na kupunga upepo.
Wakati natembea nikamkuta mdada mmoja amekaa kwenye benchi huku akionekana ana simanzi.
Mkononi alikuwa...
Kwakuwa kuna computer na simu na ukipiga picha unakuwa nayo, je kuna umuhimu tena wa kupiga picha mfano; harusini na kwenda kuisafisha studio kisha kuiweka kwenye photo album?
Album hiyo iliyosheheni nyimbo za kumtukuza Mungu, zinazofundisha na kuelimisha, orodha yake ni kama ifuatavyo:
1. Wa wapi yule?
2. Maharage ya wapi
3. Tumvishe pampasi
4. Mbumbavu mmoja
5...
Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao tumeishi na maumbile madogo(sio ya kiume) ya Mwili na maanisha machamkondi tumekuwa tukijitahidi kula sana kama ni mayai nasi tutataga sasa,kama ni...
Migomo! migomo! migomo!
Wadau, migomo inapotokea sisi wa hali ya kawaida ndio tunaumia, ila wake zetu na madem zetu nao wakitugomea itakuwaje? Kazi zitafanyika kweli?
BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutasafiri kwenda Nairobi kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi safari ya kikazi Nairobi kwenye mkutano for 1...
Marafiki wawili walienda kwenye interview.....mmoja alikuwa mwerevu,mwinginealikuwa zuzu kwa hiyo wakaamua kusaidiana.Wakapanga kuwa jamaa mwerevu ataingiamwanzo...alafu akitoka atampa mwenziwe...
An English teacher asked her class to write an essay on what they'd do if they had a million dollars. Alec handed in a blank sheet of paper. 'Alec!' yelled the teacher, 'you've done nothing. Why?'...
Natumia fursa hii kuwashukuru wana MMU wote kwa maombi,
tumekuwa pamoja toka kipindi kile nina PhD mpaka muda huu nimekuwa Associate Professor.Nawashukuru wanaJF wote pamoja na Mods.
Japokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.