Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,684
Kichekesho:-
Eti basi na Fuso yamelipuka baada ya kugongana.
Fuso lilibeba matikiti maji.
Wazo:-
Kumbe tunaweza kutengeza petroli kwa kutumia matikiti.
Maoni yangu:-
Basi la abiria lilibeba petroli, ndio ikalipuka na kusababisha maafa yote.