Na kumbuka kuanza darasa la kwanza full kulia wote!! Kila mtu anawaza kiporo cha home. Mnapimwa kwa kushikamaskio. Siku hizi wanapimwa kwa hela.
Hii Digital nomaaa!!
Zamani watu walitumia kuwika...
kila mtu humu jf atakubaliana nami kuwa tangia uanze kwenda kwenye mahotel au migahawa ya chakula hujawahi kukuta menu ya vyakula hivi CHIPS BATA,WALI BATA,UGALI BATA,MCHEMSHO WA BATA, UGALI...
Ukiwa kwenye basi unaitwa "abiria".
Ukiwa kwenye maji unaitwa "mvuvi."
Ukiwa stendi "msafiri",darasani unaitwa "mwanafunzi".
Ukihitimu masomo unaitwa"msomi",shambani unaitwa...
BREAKING NEWS.
Habari zilizotufikia hivi punde ni kuhusu,
Basi la kampuni ya Mohamed Trans lililokua likitoke Mwanza kuelekea Dar lilipofika maeneo ya Misungwi dereva wa basi hilo alimuwashia...
Mlevi mmoja aliangua chini kutoka ghorofa ya tatu, walipokuja kumuuliza kulikoni yeye akajibu "Kwa kweli hata Mimi sielewi maana na mimi ndo nimefika sasaiv!!"
usiku mwema wakuu
Hujacheka leo. Hebu cheka kidogo tu sio sana.
UBAHILI NOMA! Ndani ya meli wa2 makabila tofauti walikua na mizigo, meli ilizidiwa ilibidi mizigo ipunguzwe, Mzungu akatupa computer, akasema kwe2...
Yaani ghafla bin vuuup ndo nipate Uraisi kimiujiza miujiza vile,basi hili ndo lingekuwa baraza la mawaziri:
miss chagga =Waziri wa uchumi na biashara bila kusahau kitengo cha wajasiria mali...
Si mmnajua tena mambo Yale boys kupelekwa girls kukiwa na sherehe Fulani hivi.sasa wanafunzi wa Mazengo sec kipindi hicho,wakapelekwa msalato sec,ilikuwa wanaagwa form six,ikafika mda wa disco...
Atakayeweza kuniombea kisawasawa au kunifanyia uganga wa kutosha ili tu baba mwenye nyumba yangu asahau kunidai kodi yake ya nyumba kwa kipindi chote hiki ninachokaa kwake na ikiwezekana kama vipi...
Eti mfano mumeo au mkeo kakwambia muende kwao kuwatembelea wazazi ukweni mlipofika kule siku yakwanza, yapili ukatokea msiba mkeo/mumeo kafiwa na ndugu yao mwingine sio eneo la mbali sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.