JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimewakubali Mwanza, Kasie is in Rocky city now in da club chilling till morning too bin majogoo uuhuuuuu.... Love u rock city bad luck kesho nasepa. Love u always,Kasie. I was at Crest Hotel...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
MY TESTIMONY STORY OF MY LIFE I said I will not keep this opportunity to myself alone because I want your life to be more better than my if every Rich men and women can share their life story like...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Wapendwa wanachit-chat, Poleni kwa mapumziko ya wikiendi ndefu ya pasaka na Karume. Karibuni kwenye chit-chat hii inayowahusu memba wanne. Awali, niliahidi memba sita lakini memba mmoja alifoka na...
6 Reactions
72 Replies
6K Views
Mstahiki meya nimerudi tena jamvini...hakika nimerudi....natumai wote wazima humu....Nimerudi na swali moja tu mengine yatafata baadae......ACT WAZALENDO kwa hapa dar makao makuu niwapi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Loading for her.......
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alikuwa amevaa miwani meusi mchana na ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kuvaa hiyo miwani. Kwakuwa alikuwa mshamba na hiyo miwani basi ilipofika majira ya saa 11 jioni aliona ndio...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Asilimia 99.99 ya watu watakaosoma hii kitu niliyoandika hapa hawajawahi kuona ATM Machine hata mara moja katika maisha yao..bisha kama unaweza!!!!!!
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Nachukua fursa hii kuwatakia wanachitchat wenzangu wote Pasaka ya furaha na amani.Muwaweke watoto wenu 'kibindoni' msiwaachie wajiendee wenyewe kwa kisingizio cha 'kwenda kula pasaka kwa jirani'...
6 Reactions
58 Replies
4K Views
Hivi pweza kazi yake huwa ni kutafunwa tu,sijawahi kuona wanatumika kama mbonga,au mchuzi kwa ajili ya vyakula kama wali.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Polisi wa Mjini wapambana na Panya Load na gari la polisi limeanguka chini Asalale..... Panya Load 6 Wamekufa paop hapo......
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Waganda naona wamecharuka kwenye Vichekesho Industry..! Wamemleta Simon na kundi la Comedy made in Africa. Pata kionjo vyake viwili. 1. Mgawo wa bahati nasibu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ilikuwa hivi Jamaa kakaa na dada mkali siti mmoja,sasa si akaanza kumwimbisha kwa Sauti ya chini,demu kimya akawa hajibu,Jamaa kakomaa,dada si akamtolea uvivu kwa Sauti kubwa naomba unikome!jamaa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari za hivi punde Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa basi lenye usajili namba T 124 DAK likiwa na abiria 61 mali ya kampuni ya hood linalofanya safari zake arusha to mbeya leo majira ya...
2 Reactions
17 Replies
7K Views
Mm nlikua form 4S4.....nawakumbuka walim wangu kama MKENYAMAN, KISONGA, MAISA.,.ww unakumbuka nini?
0 Reactions
5 Replies
764 Views
MKE: "Naomba simu yako plz..." MUME: "Ahh okay ngoja niwashe nilikuwa nimezima...." Delete videos Delete pictures Delete inbox Delete sent items Delete dialed calls Delete received calls...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
katika harakati za kuunga mkono uvamizi wa marekani kwa IRAN tanzania imejikuta ikiunga mkono marekani kutokana na mahusiano yake ya karibu na marekani, Tanzania pia imeahidiwa kupata gawio la...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
SITOSAHAU (simulizi ya kweli) Ilikua jumatano mida ya saa 10 jioni muda niliokua nimetoka kuoga na kuvaa nguo nilizozipenda na kuzijali sana kuliko nguo zangu zote nakumbuka nilivaa T.shirt...
0 Reactions
10 Replies
51K Views
Back
Top Bottom