Habarini wapendwa hope muwazima wote,
Baada ya holiday ndefu kidogo now tumerud mzigoni tena. napenda kuwashukru member wezangu wawili Mafikizolo na loveissweet kwa kuja kunitembelea home tanga...
kwa wale mtakao kuwa mnasherekea siwatakii pasaka njema. sijalipwa mshahara na sina hela na hata sijakaribishwa na mtu hadi sasa...hivyo nina hasira sana!
Mara ya mwisho kukutana na wewe ilikuwa zaidi ya wiki mbili zilizopita tulikutana kwenye bar ya Mushi ilogi kahama ulikokuwa unafanyia kazi,siku hiyo uliongea mengi sana na mimi,uliniambia wazi...
Wandugu habari zenu za wikiendi,
Hii kitu naona kama vile inatuchosha kwa sababu imekuwa off and on tangu 25/3 sababu ikiwa ni kukatika kwa umeme maeneo ninayoishi -Bomang'ombe wilayani...
Ukiangalia posts za wana Jamiiforums leo asubuhi utacheka hadi ufe............sawa huwa kuna typo mistakes ila za leo asubuhi ni balaa....cha ajabu hata anayekosoa anakosea tena...loh. Hiki ni...
Wapendwa wanajf,
Familia ya Bw na Bi Shieka inafurahi kuwatangazia kwamba vijana wao
Ali na Mali wanatarajia kufunga harusi yao mwezi Agosti 2015.
Wewe ukiwa mwanajf mwenye upendo na ushirikiano...
Wanachitchat, ile sehemu ya 4,Part4 ya "My Secret Nicknames and Impressions of Some JF
Members" itawajia kesho Jumanne 7/4. Awali nilikosea kwa kusema itakuja Jumanne tarehe 8/4.
Wahusika...
Karibu sana nyumbani kwangu tule pasaka..panda gari hadi mkonoo nauli buku,chukua gari la Engutoto nauli buku3,shukia kanisan pentekoste,panda bodaboda elfu 7 shukia kituo cha ujamaa utawakuta...
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama
yangu...
Nimefwatilia sana vita na migogoro inayotokea Afrika chanzo sio sisi wenyewe bali huwa ni mtu Wa tatu ...sisi wenyewe tunagombanishwa..
1.Unamchukuliaje mtu anayekupa silaha alafu anashangaa...
Na kweli ulimwengu kuna malimwengu.Mzee mmoja kutoka Mwembetayari aliwaacha wengi kwa kicheko,yesemakana babu huyu alioga na acid kichwani usiku wa kuamkia leo.La kushangaza ni kuwa baada ya kuoga...
Jana kama utani katika akaunt yangu ya Facebook nimetuma status"Asante Mungu nimepata mshahara wangu". Baada ya dk3 baba mwenye nyumba aka like��.
Dear esteemed members,
Yesterday in the course of contribution to the topic "Aliacha halafu karudi." I became involved in a verbal altercation with one of the members, each one striving to air...
Familia ya Avatar Sijuti wa Jf, inawakaribisha wana Jf wote kuchangia ujenzi wa nyumba yao utakao fanyika huko Mtwara mikindani kuanzia mwezi August 2015. Mchango wako wa hali na mali unahitajika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.